Teknolojia za hali ya juu zavutia watembeleaji kwenye Maonyesho ya 8 ya CIIE (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2025
Teknolojia za hali ya juu zavutia watembeleaji kwenye Maonyesho ya 8 ya CIIE
Jozi ya viatu vilivyochapishwa kwa teknolojia ya 3D ikionekana kwenye eneo la maonyesho ya Viwanda vya kisasa na Teknolojia ya Kupashana Habari kwenye Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 6, 2025. (Xinhua/Cai Xiangxin)

SHANGHAI - Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), ambayo yalifunguliwa mjini Shanghai, mashariki mwa China siku ya Jumatano wiki hii na yamepangwa kuendelea hadi Novemba 10, yanaonyesha vifaa vya kisasa, teknolojia za hali ya juu, na bidhaa zenye uvumbuzi katika sekta kama vile sayansi na teknolojia, uzalishaji viwandani na mambo ya matibabu.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha