Teknolojia za hali ya juu zavutia watembeleaji kwenye Maonyesho ya 8 ya CIIE (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 07, 2025
Teknolojia za hali ya juu zavutia watembeleaji kwenye Maonyesho ya 8 ya CIIE
Suluhisho la ardhini la ndege kuruka na kutua wima katika anga ya chini lililotolewa na Kampuni ya Nippon Paint likionyeshwa kwenye eneo la maonyesho ya Viwanda vya kisasa na Teknolojia ya Kupashana Habari la Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 6, 2025. (Xinhua/Ren Pengfei)

SHANGHAI - Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE), ambayo yalifunguliwa mjini Shanghai, mashariki mwa China siku ya Jumatano wiki hii na yamepangwa kuendelea hadi Novemba 10, yanaonyesha vifaa vya kisasa, teknolojia za hali ya juu, na bidhaa zenye uvumbuzi katika sekta kama vile sayansi na teknolojia, uzalishaji viwandani na mambo ya matibabu.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha