CIIE yahimiza kubadilishana tamaduni na mawazo kati ya China na dunia (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2025
CIIE yahimiza kubadilishana tamaduni na mawazo kati ya China na dunia
Wageni wakitazama onyesho kwenye banda la Mkoa wa Shanxi wa China katika Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, mashariki mwa China, Novemba 8, 2025. (Xinhua/Fan Yuqing)

Maonyesho ya CIIE si tu ni jukwaa la kimataifa la biashara ya bidhaa na huduma bali pia ni tukio kubwa la kubadilishana tamaduni na mawazo kati ya China na dunia.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)

Picha