Lugha Nyingine
Hifadhi ya Ardhi Oevu yageuka kuwa paradiso kwa ndege wanaohamahama katika Mkoa wa Ningxia, Kaskazini Magharibi mwa China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 13, 2025
Iliyoko katika Wilaya ya Pingluo Mkoani Ningxia na karibu na Mto Manjano, Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Tianhewan hutumika kama kizuizi muhimu cha kiikolojia katika Bonde la Mto Manjano.
Wilaya hiyo ya Pingluo imekuwa ikiongeza juhudi zake za kulinda Ardhi Oevu ya Mto Manjano katika miaka ya hivi karibuni, ikisukuma mbele urejeshaji wa mazingira na usimamizi wa ardhi oevu. Imeunda mtandao wa ulinzi wa ikolojia ili kulinda makazi ya ndege wanaohamahama kupitia mifumo ya ufuatiliaji ya kisasa na doria zinazofanywa na wataalamu.
Kutokana na kuboreshwa kwa mazingira yake ya ikolojia kwa muda mrefu, hifadhi hiyo imegeuka kuwa paradiso kwa ndege wanaohamahama.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




