Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 wawashwa katika Olympia ya Kale (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2025
Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 wawashwa katika Olympia ya Kale
Mwigizaji Mary Mina (mbele), akiigiza nafasi ya Kuhani Mkuu wa Ugiriki ya kale, amewasha moto kwenye maandalizi kwa ajili ya hafla ya kuwasha mwenge wa Olimpiki wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Olympia ya Kale, Ugiriki, Novemba 24, 2025. (Xinhua/Li Jing)

OLYMPIA YA KALE - Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 umewashwa rasmi jana Jumatano kwenye eneo chimbuko la Michezo hiyo katika Olympia ya Kale, magharibi mwa Ugiriki.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha