Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 wawashwa katika Olympia ya Kale (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 27, 2025
Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 wawashwa katika Olympia ya Kale
Msanii akimwachilia njiwa kwenye hafla ya kuwasha mwenge wa Olimpiki wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina 2026 katika Olympia ya Kale, Ugiriki, Novemba 26, 2025. (Xinhua/Lyu You)

OLYMPIA YA KALE - Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 umewashwa rasmi jana Jumatano kwenye eneo chimbuko la Michezo hiyo katika Olympia ya Kale, magharibi mwa Ugiriki.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha