Maua ya aina mbalimbali yachanua kwenye kituo cha kupanda maua mkoani Hebei, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 01, 2025
Maua ya aina mbalimbali yachanua kwenye kituo cha kupanda maua mkoani Hebei, China
Wakulima wa maua wakichagua maua kwa ajili ya kufungasha na kuwasilisha kwa wateja kwenye kituo cha kupanda maua katika Eneo la Luancheng la Shijiazhuang, Novemba 30, 2025. (Picha na Chen Qibao/Xinhua)

Maua yapatayo 200,000 ya aina mbalimbali yamechanua kwenye kituo cha kupanda maua katika Eneo la Luancheng la Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China. Maua hayo yatasambazwa sokoni baada ya kuchaguliwa na wakulima.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha