Ushoroba kinara wa biashara wa China washughulikia makontena zaidi ya milioni 5 (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 01, 2025
Ushoroba kinara wa biashara wa China washughulikia makontena zaidi ya milioni 5
Picha iliyopigwa Novemba 29, 2025 ikionyesha meli ikielekea Bandari ya Qinzhou katika Mji wa Qinzhou, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China. (Xinhua/Zhang Ailin)

QINZHOU - Ushoroba Mpya wa Biashara ya Baharini na Nchi Kavu (ILSTC), njia muhimu ya usafirishaji inayounganisha eneo la magharibi mwa China na masoko duniani, ulikuwa umeshasafirisha jumla ya makontena ya mizigo (TEUs) zaidi ya milioni 5, hadi kufikia juzi Jumamosi, Novemba 29, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kundi la Kampuni za Reli la China, Tawi la Nanning.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha