Lugha Nyingine
Ushoroba kinara wa biashara wa China washughulikia makontena zaidi ya milioni 5
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 01, 2025
QINZHOU - Ushoroba Mpya wa Biashara ya Baharini na Nchi Kavu (ILSTC), njia muhimu ya usafirishaji inayounganisha eneo la magharibi mwa China na masoko duniani, ulikuwa umeshasafirisha jumla ya makontena ya mizigo (TEUs) zaidi ya milioni 5, hadi kufikia juzi Jumamosi, Novemba 29, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kundi la Kampuni za Reli la China, Tawi la Nanning.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



