Lugha Nyingine
Mkoa wa Xizang wa China washerehekea Siku ya Mwaka ya Palden Lhamo
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2025
| Wanawake waliovaa mavazi rasmi ya sikukuu wakitembea kwenye Mtaa wa Barkhor mjini Lhasa, Mkoa Unaojiendesha wa Xizang, kusini magharibi mwa China, Desemba 4, 2025. (Xinhua/Tenzin Nyida) |
LHASA - Mkoa Unaojiendesha wa Xizang, kusini magharibi mwa China umesherehekea Siku ya Palden Lhamo ya Mwaka, ambayo pia inajulikana kuwa ni "Siku ya Wanawake", jana Alhamisi, tarehe 15 ya mwezi wa kumi kwa kalenda ya jadi ya kabila la Watibet. Wanawake waliovaa mavazi rasmi ya sikukuu walionekana mitaani wakiwa wamebeba mitandio ya hada na divai ya shayiri wakati wakielekea kwenye Hekalu la Jokhang kutoa heshima kwa Palden Lhamo, mungu wa kike katika Dini ya Kibuddha ya Kitibet.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



