Daraja Kubwa la Renhe kando ya njia ya reli ya mwendokasi ya Xi'an-Chongqing Kusini-Magharibi mwa China laendelea kujengwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 08, 2025
Daraja Kubwa la Renhe kando ya njia ya reli ya mwendokasi ya Xi'an-Chongqing Kusini-Magharibi mwa China laendelea kujengwa
Picha iliyopigwa Desemba 7, 2025 ikionyesha daraja kubwa la Renhe linalojengwa kando ya njia ya reli ya mwendokasi ya Xi'an-Chongqing huko Chongqing, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Tang Yi)

Ujenzi wa nguzo za mnara wa daraja kubwa la Renhe kando ya njia ya reli ya mwendokasi ya Xi'an-Chongqing mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China umekamilika kikamilifu jana Jumapili, wakati huohuo ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa karibu asilimia 70.

Daraja hilo ambalo lipo katika Wilaya ya Chengkou ya Mji wa Chongqing, lina urefu wa mita 1180.52 na ni mradi muhimu wa reli ya mwendokasi ya Xi'an-Chongqing.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha