Lugha Nyingine
Kundi la Marafiki wa Usimamizi Duniani laanzishwa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 10, 2025
UMOJA WA MATAIFA - Kundi la Marafiki wa Usimamizi Duniani limeanzishwa rasmi kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York jana Jumanne ambapo wawakilishi kutoka nchi wanachama waanzilishi karibu 40 wa kundi hilo walihudhuria mkutano wa uzinduzi, ambao uliongozwa na Fu Cong, mwakilishi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




