Lugha Nyingine
Maonesho ya 21 ya magari ya kimataifa ya Changsha yafunguliwa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2025
![]() |
| Picha iliyopigwa Desemba 10 ikionesha Maonesho ya 21 ya magari ya kimataifa ya Changsha kwenye Kituo cha Mikutano na Maonesho ya kimataifa cha Changsha, mkoani Hunan, China. |
Tarehe 10, Desemba, maonesho ya 21 ya magari ya kimataifa ya Changsha yalifunguliwa kwenye kituo cha mikutano na maonesho ya kimataifa cha Changsha. Maonesho hayo yatafanyika kwa siku sita, yakifuatilia mwelekeo mpya wa maendeleo ya magari ya umeme na magari ya teknolojia ya kisasa. Maonesho hayo yamevutia zaidi ya chapa 70 za magari za ndani na nje ya China kushiriki kwenye maonesho, ambapo magari zaidi ya elfu moja yataonekana kwenye maonesho hayo.
Picha na Chen Sihan/Xinhua
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




