Ujenzi wa sehemu kuu ya Mnara mkuu wa Ufunguzi wa 27 wa Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin wakamilika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2025
Ujenzi wa sehemu kuu ya Mnara mkuu wa Ufunguzi wa 27 wa Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin wakamilika
Picha iliyopigwa Desemba 10 ikionesha sehemu ya ujenzi wa mnara mkuu wa Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin.

Tarehe 10, Desemba, ujenzi wa sehemu kuu ya mnara mkuu wa ufunguzi wa 27 wa Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin umekamilika, na ujenzi wa mnara huu wa "Taa za Barafu za Kufunga safari ya ndoto" umeingia kwenye hatua ya mwisho ya kuboresha na kurekebisha vizuri mwanga za taa. Utaonekana na kuwashangaza watu kwa hali yake ya murua.

Mnara huo umejengwa kwa kutumia kwa barafu za mita za ujazo 39,000 kwa ujumla, ukiwa ni kivutio cha sanamu ya barafu iliyo ya juu zaidi na mkubwa zaidi katika bustani ya Dunia ya Barafu na Theleji ya Harbin mwaka huu.

Picha na Zhang Tao/Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha