Lugha Nyingine
"Mtaa wa huduma za matengenezo" wakuwa eneo lenye uhai la kuwahudumia wakazi wa jirani mjini Tianjin (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2025
![]() |
| Mwenye duka akishona nguo katika duka moja la "Mtaa wa huduma za matengenezo" katika mji wa Tianjin, kaskazini mwa China, Desemba 9, 2025. (Xinhua/Li Ran) |
"Mtaa wa huduma za matengenezo" ulioanzishwa Juni 2024 umekuwa eneo lenye uhai la kutoa huduma za matengenezo kwa wakazi wa Tianjin. Katika eneo hilo, wakazi wanaokaa karibu wanaweza kupata huduma za matengenezo kwa urahisi, kama vile kunoa visu, kushona nguo, kutengeneza ufunguo, na kutengeneza saa.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




