Lugha Nyingine
Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Viwanda vya Mambo ya Utalii wa Barafu na Theluji ya Jilin yaanza Changchun (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 19, 2025
![]() |
| Watu wakifahamishwa kuhusu mashine ya kutayarisha theluji iliyoundwa China kwenye Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Viwanda vya Mambo ya Utalii wa Barafu na Theluji ya Jilin mjini Changchun, Mkoa wa Jilin, kaskazini mashariki mwa China, Desemba 18, 2025. (Xinhua/Xu Chang) |
Maonyesho ya 9 ya Kimataifa ya Viwanda vya Mambo ya Utalii wa Barafu na Theluji ya Jilin yanafanyika kwenye eneo la mita za mraba zaidi ya 60,000, na yameanza rasmi mjini Changchun, Mkoa wa Jilin, kaskazini mashariki mwa China jana Alhamisi.
Maonyesho hayo yanaonyesha nguvu hai na matarajio ya biashara ya Jilin inayohusiana na barafu na theluji kwa kupitia maonesho na majaribio kwenye mabanda yenye mambo mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




