Lugha Nyingine
Tamasha la 21 la Nadam la Barafu na Theluji laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 22, 2025
![]() |
| Wakazi wakila kebab kwenye hafla ya kufunguliwa kwa Tamasha la 21 la Nadam la Barafu na Theluji katika Wilaya ya Hailar ya Mji wa Hulun Buir, Mkoa Unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China, Desemba 21, 2025. (Xinhua/Lian Zhen) |
Tamasha la 21 la Nadam la Barafu na Theluji katika Wilaya ya Hailar ya Mji wa Hulun Buir, Mkoa Unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China limeanza rasmi jana Jumapili, Desemba 21, 2025, likivutia watalii kutoka ndani na nje ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




