Barabara ya mwendokasi ya Guiyang-Pingtang itaanza kutumika mkoani Guizhou, China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 25, 2025
Barabara ya mwendokasi ya Guiyang-Pingtang itaanza kutumika mkoani Guizhou, China
Picha iliyopigwa tarehe 23, Desemba, 2025 ikionesha daraja kuu la Nanminghe kwenye barabara ya mwendokasi ya Guiyang-Pingtang Mkoani Guizhou, China.

Barabara ya mwendo kasi ya Guiyang-Pingtang imepita ukaguzi wa kukabidhiwa siku ya Jumatano na itaanza kutumika hivi karibuni.

Barabara hiyo ya mwendokasi inatoka mji mdogo wa Yangchang wa Mji wa Guiyang na hadi Mlango wa Yunyangguan la Wilaya ya Pingtang. Urefu wa barabara hiyo umefikia kilomita 174.018 na kasi iliyosanifiwa imefikia kilomita 100 kwa saa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha