Sehemu ya Kaskazini ya Barabara ya kwanza ya Gutian Mjini Wuhan, China yafunguliwa (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2025
Sehemu ya Kaskazini ya Barabara ya kwanza ya Gutian Mjini Wuhan, China yafunguliwa
Magari yakipita kwenye sehemu ya kaskazini ya Barabara ya Kwanza ya Gutian mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Desemba 28, 2025. (Xinhua/Wu Zhizun)

Sehemu ya Kaskazini ya Barabara ya Kwanza ya Gutian katika Mji wa Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China imekamilika rasmi na kufunguliwa jana Jumapili. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 2.78, inayovuka reli ya mwendokasi ya Shanghai-Chongqing-Chengdu, Reli ya Wuhan-Danjiangkou, na Barabara ya Tatu ya Mzunguko ya Wuhan, itanufaisha wakazi wa kando za barabara hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha