Lugha Nyingine
Maonyesho ya mafanikio ya viwanda ya China chini ya Mpango wa 14 wa Miaka Mitano yaanza Beijing (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 30, 2025
Maonyesho ya "Kujenga Njia ya Nchi Yenye Nguvu: Mafanikio ya Viwanda ya China ya Kipindi cha Mpango wa 14 wa Miaka Mitano" yamefunguliwa jana Jumatatu, ambayo yamekuwepo vitu zaidi ya 300 (seti) yanayoonyesha mafanikio ya viwanda vya utengenezaji bidhaa nchini China katika kipindi cha utekelezaji wa Mpango wa 14 wa Maendeleo ya Uchumi na Jamii ya Miaka Mitano.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




