Reli ya kati ya miji ya Beijing na Tangshan ya China yaanza kutoa huduma kikamilifu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 31, 2025
Reli ya kati ya miji ya Beijing na Tangshan ya China yaanza kutoa huduma kikamilifu
Treni ya mwendokasi inayoelekea Tongzhou, Beijing ikiwa imesimama kwenye Stesheni ya Reli ya Tangshan katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Desemba 30, 2025. (Picha na Dong Jun/Xinhua)

Reli ya kati ya Mji Beijing na Mji Tangshan inayounganisha Eneo la Tongzhou la Mji Beijing, Eneo la Baodi la Mji Tianjin, na Mji Tangshan katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, imeanza rasmi kutoa huduma kwa njia kamili jana Jumanne.

Reli hiyo imesanifiwa kuwa ya kasi ya juu ya kilomita 350 kwa saa, na inapunguza muda wa usafiri kati ya Tongzhou na Tangshan hadi angalau dakika 55.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)

Picha