Daraja kubwa la Tianmen laendelea kujengwa katika Mkoa wa Guizhou wa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2026
Daraja kubwa la Tianmen laendelea kujengwa katika Mkoa wa Guizhou wa China
Picha iliyopigwa Januari 6, 2026 ikionyesha daraja kubwa la Tianmen linaloendelea kujengwa katika Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Tao Liang)

Ujenzi wa sehemu kuu ya daraja kubwa la Tianmen kwenye barabara kuu ya Anshun-Panzhou umekamilishwa hivi karibuni mkoani Guizhou. Daraja hilo lina urefu wa mita 1,553 likiwa na kimo cha urefu wa mita 560 wa kutoka ardhini hadi juu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha