Maonyesho ya Kimataifa ya Uchumi wa Barafu na Theluji ya Harbin 2026 yaanza Heilongjiang, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2026
Maonyesho ya Kimataifa ya Uchumi wa Barafu na Theluji ya Harbin 2026 yaanza Heilongjiang, China
Mwonyeshaji bidhaa (kushoto) akimwelezea mtembeleaji wa maonyesho kuhusu ubao wa mchezo wa kuteleza kwenye theluji wa nyuzi za kaboni kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Uchumi wa Barafu na Theluji ya Harbin 2026 mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Januari 6, 2026. (Xinhua/Wang Song)

Maonyesho ya Kimataifa ya Uchumi wa Barafu na Theluji ya Harbin 2026 ambayo yatafanyika kwa siku tatu yameanza rasmi mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China jana Jumanne, yakionyesha mafanikio ya teknolojia za kisasa ya viwanda vya mambo ya barafu na theluji.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha