Mashindano ya 28 ya kimataifa ya uchongaji wa sanamu za theluji ya Harbin, China yaanza (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2026
Mashindano ya 28 ya kimataifa ya uchongaji wa sanamu za theluji ya Harbin, China yaanza
Washiriki wakifanya kazi kwenye sanamu ya theluji katika eneo la Maonyesho ya kimataifa ya Sanaa za Sanamu za Theluji ya Kisiwa cha Jua mjini Harbin, Mkoani Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Januari 6, 2026. (Xinhua/Wang Jianwei)

Mashindano ya 28 ya kimataifa ya uchongaji wa sanamu za theluji ya Harbin yameanza rasmi jana Jumanne, yakivutia timu 25 za wachongaji wa sanamu za theluji kutoka nchi 13.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha