Lugha Nyingine
Baridi kali yafika Ulaya, yatatiza usafiri na maisha ya watu (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2026
![]() |
| Abiria wakitembea nje ya Uwanja wa Ndege wa Schiphol baada ya usafiri wa ndege nyingi kufutwa, mjini Amsterdam, Uholanzi, Januari 7, 2026. (Picha na Xinhua) |
Hivi karibuni, nchi nyingi za Ulaya zimeathiriwa na mawimbi ya mkondo wa baridi kutoka eneo la Arktiki unaoelekea upande wa kusini, nchi hizi zimekumbwa na hali mbaya ya hewa kama vile kuanguka kwa theluji kubwa, mvua ya barafu na kuganda kwa barafu barabarani.
Hali hiyo imefanya usafirishaji na mwasiliano wa anga, reli na barabara kupata athari mbalimbali. Usafiri umekwama katika sehemu nyingi, baadhi ya huduma za umma zimekatika, na maisha ya watu na usalama wa umma vimeathirika.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




