Wavuvi washughulikia kukausha samaki katika Mkoa wa Shandong

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2026
Wavuvi washughulikia kukausha samaki katika Mkoa wa Shandong
Wavuvi wakianika samaki katika Mtaa wa Aoshanwei, Eneo la Jimo la Qingdao, mkoani Shandong, China, Januari 6, 2026. (Picha na Liang Xiaopeng/Xinhua)

Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China inakaribia kuwadia, wavuvi wa pwani ya bahari ya eneo la Jimo la mji wa Qingdao katika mkoa wa Shandong, wakitumia fursa ya kuwa na hali ya hewa nzuri, wanashughulikia kuandaa samaki wakavu kwa kupitia kuwapasua katikati samaki na waliovuliwa kuwapanua, kuvipaka kwa chumvi, na kuvianika kwa kukausha, ili kuviuza sokoni wakati wa mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha