ChinaVumbuzi |  Mtambo wa kuzalisha umeme wa megawati 20 kwa upepo baharini wafungwa katika Mkoa wa Fujian, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 14, 2026
ChinaVumbuzi |  Mtambo wa kuzalisha umeme wa megawati 20 kwa upepo baharini wafungwa katika Mkoa wa Fujian, China
Picha iliyopigwa Januari 13, 2026 ikionyesha mtambo wa kuzalisha umeme wa megawati 20 kwa upepo baharini baada ya kufungwa kwenye maji ya pwani ya Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Mtambo wa kuzalisha umeme wa megawati 20 kwa upepo baharini umepandishwa na kufungwa rasmi kwa mafanikio kwenye maji ya pwani ya Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China jana Jumanne, Januari 30.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha