Lugha Nyingine
Mtaa wa Kale wa Kihistoria na Kiutamaduni wa China katika Mji wa Harbin wavutia idadi inayoongezeka ya watalii (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Januari 14, 2025 ikionyesha mandhari ya Mtaa wa Kale wa Kihistoria na Kiutamaduni wa China mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Zhang Tao) |
Mji wa Harbin katika Mkoa wa Heilongjiang ni kivutio kikuu cha utalii wa majira ya baridi kaskazini mashariki mwa China. Mtaa wa Kale wa Kihistoria na Kiutamaduni wa Baroque wa China wa mji huo unavutia idadi inayoongezeka ya watalii. Mtaa huo wenye usanifu wa majengo yenye umri wa miaka 100, ya mchanganyiko wa mitindo ya China na ya nchi za Magharibi, huonyesha mvuto wa kipekee wakati msimu wa barafu na theluji unapofikia kilele.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




