Mji wa Kipekee Wawa Kivutio Maarufu cha Watalii katika Mkoa wa Heilongjiang nchini China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2026
Mji wa Kipekee Wawa Kivutio Maarufu cha Watalii katika Mkoa wa Heilongjiang nchini China
Watalii wakipiga picha kwenye jumba la makumbusho la Reli ya Mashariki ya China katika Mji mdogo wa Hengdaohezi wa Mji wa Hailin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Januari 15, 2025. (Xinhua/Yang Zhe)

Ukiwa umepewa jina la "mji uliovutwa na treni," Mji mdogo wa Hengdaohezi katika Mji wa Hailin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China awali ulianzishwa mwishoni mwa karne ya 19 wakati Warusi walipojenga karakana za kukarabati treni na vifaa vingine huko kufuatia kujengwa Reli ya Mashariki ya China. Kutokana na majengo ya kihistoria yaliyohifadhiwa vizuri, mji huo mdogo wa kipekee sasa umekuwa kivutio maarufu cha watalii

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha