Lugha Nyingine
Tamasha la 17 la Kimataifa la Dansi la Agogo lafanyika Benin (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 19, 2026
Tamasha la 17 la Kimataifa la Dansi la Agogo ambalo lilifunguliwa mjini Oudidah, Benin Januari 16 na kufanyika kwa siku tatu, linafikia tamati leo Jumatatu, Januari 19. Tamasha hilo ni mojawapo ya matukio maarufu ya kiutamaduni na utalii ya Benin, na ni tamasha kubwa la kiutamaduni katika eneo la Afrika Magharibi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




