Lugha Nyingine
Madagascar yaripoti kesi 111 za ugonjwa wa Mpox
(CRI Online) Januari 21, 2026
Takwimu zilizotolewa Jumanne na Wizara ya Afya ya Umma ya Madagascar zimeonesha kuwa, tangu mwezi Desemba mwaka 2025, jumla ya kesi 111 za ugonjwa wa Mpox zimeripotiwa nchini humo.
Serikali ya nchi hiyo imezindua hatua mbalimbali za kukinga na kudhibiti ugonjwa huo, ikiwa ni pamoja na kuanzisha kituo cha dharura cha afya ya umma na kuanzisha vituo vya ukaguzi wa afya kwenye barabara kuu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



