Lugha Nyingine
Sekta ya maziwa yaendelezwa Wuzhong katika Mkoa wa Ningxia wa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 28, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Januari 27, 2026 ikionyesha mstari wa kuchakata maziwa freshi na kuondoa bacteria papo hapo kwa joto la juu sana kwenye karakana ya Yili, Wuzhong, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, kaskazini magharibi mwa China. (Xinhua/Feng Kaihua) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Wuzhong katika Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, kaskazini magharibi mwa China umefanya juhudi kubwa za kuongeza ukubwa, kuvifuata vigezo, na kuinua kiwango cha kukusanya maliasili, nguvukazi na teknolojia katika viwanda vyake vya kuchakata maziwa. Eneo maalum la viwanda la Jinji katika mji huo wa Wuzhong limevutia viwanda vingi maarufu vya maziwa, ambavyo vina uwezo wa kuchakata maziwa freshi tani 6,400 kwa siku, ikichukua asilimia zaidi ya 53 ya jumla ya uwezo wa kuchakata maziwa freshi katika mkoa huo wa Ningxia.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




