Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer awasili Beijing kwa ziara rasmi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2026
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer awasili Beijing kwa ziara rasmi
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer akiwasili Beijing, mji mkuu wa China, Januari 28, 2026. (Xinhua/Jin Liangkuai)

BEIJING - Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amewasili Beijing, jana Jumatano kwa ajili ya ziara rasmi nchini China ambayo imepangwa kufanyika hadi Jumamosi wiki hii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha