Lugha Nyingine
Shughuli ya kutandaza njia za reli ya mwendo-kasi ya Xiong'an-Xinzhou, China yaanza (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 02, 2026
Shughuli ya kutandaza njia za reli ya mwendo-kasi ya Xiong'an-Xinzhou imeanza rasmi jana Jumapili katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China .
Reli hiyo ya mwendo-kasi ya Xiong'an-Xinzhou ni sehemu muhimu ya reli ya mwendo-kasi ya Beijing-Kunming ambayo iko kwenye mtandao mkubwa zaidi wa njia za reli za mwendo-kasi wenye njia nane za kaskazini-kusini na njia nane za mashariki-magharibi katika nchi ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




