Timu ya sarakasi za ndege ya Jeshi la China yafanya safari ya kuhakikisha urukaji unafuata kanuni kabla ya Maonyesho ya Ndege Angani ya Singapore (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 02, 2026
Timu ya sarakasi za ndege ya Jeshi la China yafanya safari ya kuhakikisha urukaji unafuata kanuni kabla ya Maonyesho ya Ndege Angani ya Singapore
Ndege za Timu ya Sarakasi za Ndege Angani ya Bayi ya Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) zikifanya safari ya kuhakikisha urukaji unafuata kanuni wakati wa utazamaji wa waandishi wa habari wa Maonyesho ya 10 ya Ndege Angani ya Singapore, Singapore, Februari 1, 2026. (Picha na Zhu Jianghai/Xinhua)

Ndege za Timu ya Sarakasi za Ndege Angani ya Bayi ya Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) zimefanya safari ya kuhakikisha urukaji unafuata kanuni jana Jumapili, kabla ya Maonyesho ya 10 ya Urukaji wa Ndege Angani ya Singapore yatakayofanyika kuanzia kesho Februari 3 hadi 8 nchini Singapore. Kuonekana huko kwa ndege za kivita za China kunaonesha kurudi kwa timu hiyo kwenye shughuli hiyo tangu maonyesho ya saba yaliyofanyika mwezi Februari 2020.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha