Lugha Nyingine
Ujenzi wa madaraja kwenye njia ya Reli ya Mwendo-Kasi ya Chongqing-Kunming, China wakamilika (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 04, 2026
![]() |
| Wajenzi wakifanya kazi ya kuweka mhimili wa mwisho wa daraja kwenye reli ya mwendo-kasi ya Chongqing-Kunming katika Eneo la Chenggong la Mji wa Kunming, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China, Februari 3, 2026. (Xinhua/Chen Xinbo) |
Kutokana na kuwekwa kwa usahihi mhimili wa mwisho wa daraja jana Jumanne, ujenzi wa madaraja kwenye Reli ya Mwendo-Kasi ya Chongqing-Kunming umekamilika na kutandika njia kwa ajili ya kazi nyingine inayofuata ya ujenzi.
Wakati reli hiyo ya mwendo-kasi ya Chongqing-Kunming itakaanza kutoa huduma, muda wa kusafiri kati ya miji ya Chongqing na Kunming utapunguzwa sana. Hali hiyo itaongeza mafungamano kati ya eneo la kusini magharibi mwa China na sehemu nyingine nchini humu, na kuhimiza maendeleo ya uchumi ya kikanda yaliyo ya uratibu na uwiano.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




