Lugha Nyingine
Meli ya abiria ya mwendo-kasi yenye siti 1,200 yaanza kutoa huduma katika Mji wa Beihai, Guangxi, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 06, 2026
Beiyou No.36, meli ya abiria ya mwendo-kasi yenye siti 1,200 imeanza kutoa huduma rasmi jana Alhamisi katika Mji wa Baihai, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China kwa ajili ya pilika za usafirishaji wa abiria wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi. Meli hiyo ina urefu wa jumla wa mita 71, imesanifiwa kuendeshwa kwa kasi ya knots 29, na kasi ya juu zaidi ya knots 32.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




