Lugha Nyingine
Shughuli za kitamaduni za kijadi zafanyika mkoani Zhejiang kukaribisha Mwaka Mpya wa jadi wa China unaokaribia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 09, 2026
![]() |
| Wacheza ngoma ya simba wakichangamana na watalii katika mji mkongwe wa Shouchang huko Jiande, Mkoa wa Zhejiang wa China, Februari 8, 2026. (Xinhua/Xu Yu) |
Mji mkongwe wa Shouchang hivi karibuni ulifanya shughuli za kitamaduni za kijadi kama vile maandamano ya kitamaduni, maonesho ya uchezaji wa dragon na simba, na maonesho ya taa ili kukaribisha mwaka mpya wa jadi wa China unaokaribia.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




