Ufunguzi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 09, 2026
Ufunguzi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026
Moto wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 umewashwa katika Mlango wa Amani, mjini Milan, Italia, Februari 6, 2026. (Xinhua/Sun Fei)

MILANO, Februari 6 — Katika hali yenye matarajio makubwa ya watu wengi, ufunguzi wa Michezo ya 25 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ulifanyika tarehe 6, Februari. Mpangilio wa mashindano katika maeneo mengi umefanya ufunguzi wa mwaka huu kuwa na "mara kadhaa za kwanza" katika historia ya Olimpiki. Aidha, hazina kubwa ya Italia katika sekta za sanaa, utamaduni, mitindo na michezo imeufanya ufunguzi huu kuwa na sifa nyingi za kipekee za Kiitalia.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha