Lugha Nyingine
Rais wa China afanya ziara ya ukaguzi kuhusu kazi za uvumbuzi wa sayansi na teknolojia mjini Beijing (4)
(CRI Online) Februari 10, 2026
Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara kwenye bustani ya uvumbuzi wa teknolojia ya habari (IT) ya kitaifa iliyoko katika eneo la Yizhuang, mjini Beijing, ambapo alifahamishwa kuhusu uvumbuzi na matumizi ya teknolojia ya habari, na juhudi za mji wa Beijing katika kuharakisha ujenzi wa kituo cha kimataifa cha uvumbuzi wa sayansi na teknolojia. Xi aliangalia maonesho ya matunda ya uvumbuzi wa sayansi na teknolojia, na kufanya mazungumzo kwa karibu na watafiti na wakuu wa kampuni za sayansi na teknolojia.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




