Shughuli zafanyika kusherehekea Sikukuu ya Jadi ya Xiaonian ya China, kaskazini mwa China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 11, 2026
Shughuli zafanyika kusherehekea Sikukuu ya Jadi ya Xiaonian ya China, kaskazini mwa China
Watembeleaji wakitazama sanamu yenye umbo la farasi kwenye Jumba la Makumbusho la Hebei mjini Shijiazhuang, kaskazini mwa China, Februari 10, 2026. (Picha na Chen Qibao/Xinhua)

Aina mbalimbali za shughuli zimefanyika jana Jumanne kusherehekea sikukuu ya jadi ya Xiaonian katika maeneo ya kaskazini mwa China, ambayo inaashiria mwanzo wa kuanza kuhesabu siku na kufanya maandalizi ya kuwadia kwa Mwaka Mpya wa Jadi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha