Lugha Nyingine
Shughuli zafanyika kusherehekea Sikukuu ya Jadi ya Xiaonian ya China, kaskazini mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 11, 2026
![]() |
| Watu wakinunua mapambo kwa ajili ya sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China kwenye soko lililo katika Mji wa Jiyuan, Mkoa wa Henan, katikati mwa China, Februari 10, 2026. (Picha na Miao Qiunao/Xinhua) |
Aina mbalimbali za shughuli zimefanyika jana Jumanne kusherehekea sikukuu ya jadi ya Xiaonian katika maeneo ya kaskazini mwa China, ambayo inaashiria mwanzo wa kuanza kuhesabu siku na kufanya maandalizi ya kuwadia kwa Mwaka Mpya wa Jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




