Lugha Nyingine
Mji wa Sanya, China washuhudia safari zaidi ya 7,000 za boti za yacht wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 22, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Februari 21, 2026 ikionesha watalii wakipanda boti za yacht huko Sanya, Mkoa wa Hainan kusini mwa China. (Xinhua/Zhao Yingquan) |
Katika likizo ya kwanza ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China tangu uendeshaji maalumu wa forodha wa kisiwa kizima ulipozinduliwa katika Bandari ya Biashara Huria ya Hainan ya China, kisiwa hicho cha kitropiki cha kusini mwa China kimekuwa kivutio cha utalii kinachopendwa zaidi na watu kwa safari za boti za yacht. Takwimu zinaonesha, safari zaidi ya 7,000 za boti za yacht zilifanyika huko Sanya katika siku sita za kwanza za likizo ya mwaka mpya wa jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




