Mashindano ya kuchonga karoti yafanyika Qingdao, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 27, 2026
Mashindano ya kuchonga karoti yafanyika Qingdao, China
Washindani wakionesha kazi zao katika mashindano ya kuchonga karoti (na radish) huko Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Februari 25, 2026. (Xinhua/Li Ziheng)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha