Lugha Nyingine
Kituo cha Vyombo vya Habari cha Mikutano Mikuu Miwili ya Mwaka ya China 2026 chafunguliwa (4)
(CRI Online) Februari 27, 2026
Kituo cha Habari cha Mkutano wa Nne wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC) na Mkutano wa Nne wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC), ambayo inafahamika kwa jina la “Mikutano Mikuu Miwili ya Mwaka ya China” kimefunguliwa rasmi leo Ijumaa mjini Beijing, na kinatarajiwa kutoa huduma kwa waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi watakaofuatilia.
Mikutano hiyo inatarajiwa kuanza mjini Beijing Machi 5 na Machi 4, mtawaliwa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wasimamizi wa kituo hicho, hadi kufikia sasa, waandishi wa habari zaidi ya 3,000 wa ndani na nje ya China wameshajiandikisha kuripoti Mikutano hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




