Lugha Nyingine
"Tamasha la Maolong" la kabila la Wayilao lasherehekewa kwa ngoma ya dragoni mkoani Guizhou, China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2026
Tamasha la Maolong, ambalo ni shughuli ya kijadi ya watu wa kabila la Wayilao kwa kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi na sikukuu ya taa za jadi, limefanyika jana Ijumaa katika Wilaya ya Shiqian, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China.
Tamasha hilo lililoorodheshwa kuwa mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa mwaka 2006, lina kiini cha shughuli ambacho ni ngoma ya 'Maolong', ambayo maana yake ya Kichina ni "dragoni mwenye nywele." Ngoma hiyo inachezwa katika wilaya ya Shiqian pekee.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




