Lugha Nyingine
Watu wakusanyika kuomboleza kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran mjini Tehran
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 02, 2026
![]() |
| Watu wakiwa wamekusanyika kuomboleza kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei mjini Tehran, Iran, Machi 1, 2026. (Xinhua) |
Chombo cha habari cha serikali ya Iran kimethibitisha jana Jumapili kwamba kiongozi wake mkuu Ayatollah Ali Khamenei ameuawa katika shambulizi lililofanywa kwa pamoja na Marekani na Israeli siku ya Jumamosi, hali ambayo imesababisha mashambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya Israel na maeneo lengwa ya Marekani katika sehemu mbalimbali za eneo la Mashariki ya Kati.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




