Bunge la Umma la China lafanya mkutano na waandishi wa habari kabla ya mkutano wa mwaka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 05, 2026
Bunge la Umma la China lafanya mkutano na waandishi wa habari kabla ya mkutano wa mwaka
Lou Qinjian, msemaji wa mkutano wa nne wa Bunge la 14 la Umma la China (NPC), akihudhuria mkutano na waandishi wa habari kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing Machi 4, 2026. (Xinhua/Li Xin)

BEIJING - Bunge la 14 la Umma la China (NPC), chombo cha utungaji sheria cha China, limefanya mkutano na waandishi wa habari jana Jumatano, siku moja kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wake wa mwaka.

Lou Qinjian, msemaji wa mkutano huo wa nne wa Bunge la 14 la Umma, aliwaelezea waandishi wa habari juu ya hali ya mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha