Lugha Nyingine
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika maeneo kadhaa ya China wafurahia mapumziko yao ya kwanza ya majira ya mchipuko (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 02, 2026
![]() |
| Watoto wakijifunza kuchuma majani ya chai wakati wa mapumziko ya majira ya mchipuko katika Eneo la Huizhou la Huangshan, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Aprili 1, 2026. (Picha na Fan Chengzhu/Xinhua) |
Majira ya mchipuko yamewadia, huku maua yakichanua katika sehemu mbalimbali nchini China, wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika maeneo kadhaa watapata mapumziko yao ya kwanza ya majira ya hayo ya mchipuko, ambapo watakwenda nje ya madarasa kusafiri na kushiriki katika shughuli mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




