Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika maeneo kadhaa ya China wafurahia mapumziko yao ya kwanza ya majira ya mchipuko

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 02, 2026
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika maeneo kadhaa ya China wafurahia mapumziko yao ya kwanza ya majira ya mchipuko
Wanafunzi wakiwa wamepanga foleni kwa ajili ya safari kwenye Stesheni ya Reli ya Kaskazini ya Changzhou katika Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Aprili 1, 2026. (Picha na Chen Wei/Xinhua)

Majira ya mchipuko yamewadia, huku maua yakichanua katika sehemu mbalimbali nchini China, wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika maeneo kadhaa watapata mapumziko yao ya kwanza ya majira ya hayo ya mchipuko, ambapo watakwenda nje ya madarasa kusafiri na kushiriki katika shughuli mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha